Hatimaye mshambuliaji wa Al Nassr ya Saudi Arabia, Sadio Mané, amefichua kuwa alikataa kusajiliwa na Manchester United na ...
Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya ...
KIPA namba moja wa Simba, Moussa Camara amefanyiwa upasuaji salama huko Morocoo, huku mwenyewe akivunja ukimya kwa kukiri ...
CLEMENT Mzize amekuwa mchezaji wa kwanza Mtanzania kubeba tuzo ya Bao Bora la Mwaka, tuzo aliyoitwaa usiku wa juzi katika ...
BAADA ya mapumziko ya ligi kupisha mechi za timu za taifa, Ligi Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa, ambapo ...
KIJIWENI hapa siku ya Jumatatu tulikuwa bize kusubiria uteuzi wa Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ...
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake inahitimishwa leo kwa mechi baina ya AS Far Rabat ya Morocco na Ases Mimosas ...
Pambano la kesho kwa Yanga litakuwa pia ni la kwanza kwa kocha Pedro katika mechi za CAF tangu alipotua Jangwani kuchukua ...
Kiungo wa Ufaransa, Paul Pogba anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na AS Monaco kesho Jumamosi, Novemba 22, 2025 dhidi ya Rennes, huku akiendelea kujiandaa kurejea katika mechi ...
Simba ina washambuliaji watatu matata wakiongozwa na Jonathan Sowah, Steven Mukwala na Seleman Mwalimu ‘Gomez’ ambao yeyote ...
SIMBA ipo katika maandalizi ya mwisho ya kukutana na Petro Atletico ya Angola katika mechi ya Kundi D la Ligi ya Mabingwa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results