Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa nzito kikishutumu vyombo vya dola kwa kuhusika au kushindwa kudhibiti matukio ya utekaji wa watu 52 nchini Tanzania ndani ya mwezi mmoja.