Uchunguzi wa BBC umefichua mwanamume anayeendesha mtandao wa biashara ya ngono kutoka kwenye maeneo ya kifahari ya Dubai, akiwanyanyasa wanawake walio katika mazingira magumu. Mwanamume huyo, ...