Ni mwanamziki wa kizazi kipya na mashuhuri sana nchini Tanzania Mbwana Yusuph Kilungi maarufu kama Mbosso anasifika sana kwa mziki wake, maneno yakimtoka moyoni. Lakini Mboso anaugua maradhi ya moyo.