Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua tena Profesa Palamaganda Kabudi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Uteuzi huo umetangazwa leo ...
Dar es Salaam. Maisha uliyopitia yanaweza kujenga wazo linaloweza kukutambulisha duniani. Ndivyo ilivyo kwa Gibson Kawango, ambaye awali alitaka kuwezesha familia yake kupata nishati ya umeme, sasa ...
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Tanga imemwamuru Jonas Ihashe, anayeendesha biashara kwa jina la Masai Utalii Company Limited, kulipa kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) malimbikizo ya ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu imesimamisha kwa muda usiojulikana usikilizwaji wa kesi ya Kocha Listoni Katabazi dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), ...
Dar es Salaam. Yanga imekwea kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC katika mchezo uliopigwa Uwanja wa KMC Complex. Huu ndiyo mchezo ambao ...
Dar es Salaam. Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tunisia, limemtaja Mbwana Samatta kama mchezaji wa kuchungwa zaidi katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' katika Fainali za ...
Rombo. Zikiwa zimepita siku 22 tangu bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Mkuu, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro kuteketea kwa moto, bweni jingine la shule hiyo lenye wanafunzi 160 ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka, kuwafutia makosa vijana wote walioonekana kushiriki maandamano yaliyosababisha vurugu Oktoba 29, mwaka huu, kwa kufuata mkumbo, akisema... Rais ...
Babati. Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita akidaiwa kufanya uchochezi.
Pedro Goncalves Kocha Mkuu mpya wa Yanga. Dar es Salaam. Klabu ya Yanga imemtambulisha, Pedro Goncalves kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho akichukua mikoba ya Roman Folz ambaye alitimuliwa. Goncalves ...
Baadhi ya mawakala wa mgombea udiwani kata ya Masaba wilayani Butiama kupitia ACT Wazalendo wakiwa kwenye ofisi ya kata hiyo. Picha picha na Beldina Nyakeke Butiama. Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ...
‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imekataa maombi ya kusimamishwa shauri la kudharau amri ya mahakama linalowakabili viongozi wa Chadema, wakiwamo Makamu Mwenyekiti (Bara), ...