Nchini Marekani mabunge yote yamekubaliana kuruhusu idara ya sheria kuweka wazi nyaraka kuhusu mshukiwa wa tuhma za ngono ...
"Mtu anaingia kwenye uhusiano na skrini yake, uhusiano ambao haumlazimishi kuelewa au kujitolea, kwa hivyo anapoteza uwezo wa kuwa kwenye uhusiano wa kweli, ana skrini yake na raha yake ya muda ya ...
"Wanawake pia wana hisia wakati wanaposhiriki tendo la ndoa." "Sote tuliopo duniani tumetokana na tendo la ndoa," anasema Erika Lust, muelekezi mkuu wa filamu za ngono anayemiliki kampuni ya ...
Polisi nchini humo inasema kuwa miongoni mwa waliokamtwa kwenye operesheni hiyo, wamo pia askari polisi, madaktari, manesi, waalimu na hata wachungaji wa makanisa mbalimbali ambao wamekuwa wakishiriki ...
Afrika Kusini huenda ikawa nchi ya kwanza Afrika kuhalalisha biashara ya ngono, hatua ambayo wale wanaoiunga mkono wanasema itasaidia kuyalinda makundi yaliyotengwa dhidi ya ghasia na kukabiliwa na ...
Bunge la Marekani limepitisha muswada ambao utaweza kuilazimisha Wizara ya Sheria kufichua nyaraka zote za siri zinazohusiana ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results