Mkurugenzi wa Sab Investment, Saida Bwanaheri, amewapongeza waumini wa Kanisa la Christ Mandate and Power Ministries International kwa kuhitimu mafunzo ya ufugaji wa kuku, akisema hatua hiyo ni msingi ...
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria (DMVZ) imemchagua mchungaji Oscar Lema kuwa Askofu mteule wa dayosisi hiyo. Mchungaji Lema anachukua nafasi ya ...