Kamati ya uchunguzi ya Urusi sasa imefungua kesi ya uhalifu chini ya sheria hiyo. Washukiwa wanasemekana kuchunguzwa. Dini ya Kiislamu ni dini ya pili kwa ukubwa zaidi nchini Urusi. Video ya msichana ...
Jeshi la Msumbiji limeshutumu kisa cha mwanamke aliyeuawa na watu waliovalia sare za jeshi. Picha ya video ilimuonyesha mwanamke huyo aliyekuwa uchi akicharazwa kwa fimbo kabla ya kupigwa risasi ...
Maelezo ya picha, Mbunge wa chama cha liberal William Amos amesema "ameaibishwa " na tukio wakati wa mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao wa Zoom Mwanasiasa mmoja nchini Canada ameomba msamaha ...