Idadi ndogo ya wapiga kura imejitokeza katika jiji kuu la Tanzania, Dar es Salaam, leo kwa zoezi la uchaguzi huku wapinzani wakuu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakiwa aidha wamefungwa jela ama kuzuiwa ...