Donald Trump amesema siku ya Alhamisi kwamba Iran iliomba kuondolewa kwa vikwazo vya Marekani na iakasema "yuko wazi" kwa majadiliano. "Iran imeomba vikwazo hivyo viondolewe," rais wa Marekani amesema ...
Usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, Urusi ilirusha ndege zisizo na rubani 79 na makombora mawili ya balistiki nchini Ukraine, kulingana na Jeshi la Anga la Ukraine, ambalo limedai kuangusha ndege ...