Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua tena Profesa Palamaganda Kabudi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Uteuzi huo umetangazwa leo ...
Dar es Salaam. Maisha uliyopitia yanaweza kujenga wazo linaloweza kukutambulisha duniani. Ndivyo ilivyo kwa Gibson Kawango, ambaye awali alitaka kuwezesha familia yake kupata nishati ya umeme, sasa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Baraka Leonard kuwa Katibu wa Bunge, kuchukua nafasi ya Nenelwa Mwihabi, aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Uteuzi huo umetangazwa ...
Moshi. Askofu mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Martin Shao amefariki dunia leo Jumatatu, Agosti 25, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika ...
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Dar es Salaam. Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Elizabeth Edward amesema taasisi za mikopo kwenye jamii zina faida na hasara zake. Amesema wakati benki zikisubiri wakopaji lakini watu wamekuwa ...
Vyama vya siasa nchini vimekuwa na mitazamo tofauti kuhusu aina na muundo wa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku baadhi vikiunga mkono muungano uliopo ...
Mgombea uenyekiti Chadema Taifa, Tundu Lissu akifurahia akiwa ndani ya ukumbi wa Mlimani City kabla ya matokeo rasmi ya uenyekiti wa chama hicho kutangazwa. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia ...
Arusha. Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Tanga imemwamuru Jonas Ihashe, anayeendesha biashara kwa jina la Masai Utalii Company Limited, kulipa kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) malimbikizo ya ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu imesimamisha kwa muda usiojulikana usikilizwaji wa kesi ya Kocha Listoni Katabazi dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), ...