Afrika Kusini huenda ikawa nchi ya kwanza Afrika kuhalalisha biashara ya ngono, hatua ambayo wale wanaoiunga mkono wanasema itasaidia kuyalinda makundi yaliyotengwa dhidi ya ghasia na kukabiliwa na ...