Tanzania inatenga kiasi cha fedha kwa ajili ya kupambana na mitandao ya ngono. Tanzania inasema picha hizo ni kinyume cha maadili ya nchi hiyo, hivyo inatengeneza mfumo utakaoweza kuchuja na kuzuia ...
Mamlaka ya mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania imeunda kamati nne kwa ajili ya kupambana na biashara za ngono na mapenzi ya jinsia moja, ili kukabiliana na uvunjwaji wa maadili na sheria nchini humo ...