Katika kesi ambayo imegonga vichwa vya habari, mfanyabiashara maarufu sana nchini India amekamatwa kwa madai ya kutengeneza filamu za ngono. Raj Kundra, raia wa Uingereza na mume wa nyota wa Bollywood ...
Polisi ya Ujerumani yawakamata watuhumiwa wa mtandao wa unaotumia watoto katika video za ngono ,baada ya kufanya msako mkubwa katika majimbo matatu ya nchi hiyo Polisi ya ujerumani imegundua moja ya ...
Vyombo vya habari Tanzania vimetakiwa kuwa na sera ndogo ya kupinga rushwa ya ngono katika vyumba vya habari inayoonekana kushamiri katika kipindi cha hivi karibuni hasa kwa waandishi waolipwa kwa ...
Maelfu ya wanawake walikusanyika kwenye mji mkuu wa Korea Kusini Seoul jana Jumamosi, wakitaka hatua kuchukuliwa dhidi ya wale wanaowarekodi wakitumia kamera za siri, yakiwa ndiyo maandamano makubwa ...