Naibu waziri wa afya wa Tanzania, Hamis Kigwangalla ameendelea kusisitiza azma yake ya kuchapisha orodha ya majina ya watu anaowashutumu kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja Katika mjadala mkali ...
Polisi nchini Tanzania inawashikilia wanaume 12 wakiwemo raia wawili wa Afrika Kusini na mmoja wa Uganda kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja katika operesheni inayoendelea dhidi ya ...
(Nairobi) – Kukana kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania kuhusu matamko ya chuki dhidi ya mapenzi ya jinsia moja yaliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ni hatua nzuri, lakini haitakuwa na ...
Tanzania imewafurusha mawakili watatu wa Afrika Kusini waliokamatwa wiki hii wakituhumiwa kwa kukuza mapenzi ya jinsia moja. Walikuwa miongoni mwa watu 13 waliokamatwa katika hoteli moja mjini Dar es ...
Serikali ya Tanzania imejiweka kando na hatua za hivi karibuni zilizotangazwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye alitangaza operesheni ya kuwakamata watu wanaotuhumiwa kujihusisha ...
Mamlaka ya mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania imeunda kamati nne kwa ajili ya kupambana na biashara za ngono na mapenzi ya jinsia moja, ili kukabiliana na uvunjwaji wa maadili na sheria nchini humo ...
Kama kuna jambo limeangaziwa sana kilimwengu nchini Tanzania katika siku za hivi karibuni, basi ni kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results