Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti dawa za kulevya nchini Tanzania imekamata kilo 767 za dawa za kulevya katika kipindi cha wiki mbili kuanzia Aprili 4 hadi Aprili 18 mwaka huu. Akizungumza na ...
Taarifa za adhabu ya kunyongwa kwa mwanamke Mkenya Margaret Macharia Nduta, imezagaa sana kuanzia mwishoni mwa wiki hii. Mwanamke huyo alipatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya kilo mbili ...
Maelezo ya picha, Akirekodiwa kwa siri, Vinod Sharma amesema dawa ya kampuni ya Aveo ina "madhara sana," na kuongeza "hii ni biashara". 21 Februari 2025 Muda wa kusoma: Dakika 6 Uchunguzi wa BBC Eye ...
Bara la Afrika linasalia kuwa eneo kuu la usafirishaji wa dawa za kulevya, lakini pia mahali ambapo matumizi ya madawa haramu yameongezeka kwa kasi. Hivi ndivyo ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ...
Akizungumza na waumini katika kanisa ya mtakatifu Petro, papa Francis amekashifu uhalalishaji wa dawa za kulevya na kuwalaani wafanyabiashara wa madawa ya kulevya huku akitoa wito wa msaada na ...
Singapore imemyonga mwanamke mmoja kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya, hiki kikiwa ni kisa cha kwanza katika kipindi cha takriban miaka 20. Saridewi Djamani mwenye umri wa miaka 45 amenyongwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results