Tasnia ya filamu ya Nigeria maarufu kama Nollywood, inachukuliwa kuwa ya pili kwa ukubwa ulimwenguni. Lakini kutengeneza filamu nchini Nigeria si nafuu. Hata hivyo jamaa mmoja amegundua njia ya ...